House for rent at Bunju, Dar Es Salaam


13/4/2024
Nyumba inapangishwa stand alone inajitegemea
Location bunju a mianzini kairuki hospital
Dakika 3 kutoka stand
Bei 450000 Kwa mwezi
Miezi 6
Vyumba 2 vyote master bedroom sitting room kitchen cabinets dinning room public toilet
Inajitegemea
Ipo ndani ya fence
Contact 0783436763 au 0711421798