House for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 100,000
Project
Yes

πŸ“Œ BUNJU BEACH YA USHUANI

BUNJU BEACH, Bunju ambayo upepo unavuma kutoka baharini moja kwa moja ambayo ipo juu.

● Eneo la Viwanja linaangalia barabara kubwa kabisa inayojengwa lami muda sio mrefu.

● Hapa tumepima viwanja 17 tu na vyote vipo sehemu ambayo unatoka barabara kubwa unaingia ndani kwako hapo hapo.

● Viwanja vimepimwa na vipo katikati ya maeneo ambayo yote yamepimwa na yamepangika vizuri, nadhan bunju beach wengi mnaijua kwa kupangika.

● Ukihitaji na hatimiliki utapatiwa baada ya kumaliza malipo kwa kuchangia gharama kidogo.

Viwanja vipo sehemu ambayo unapata upepo wa bahari vizuri sana.

● Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

●●●●Watu wa kujenga apartments hapa panawafaa pia tena sana maana kuna upepo wa bahari wa kutosha.

BEI ZA VIWANJA NA UKUBWA WAKE

Hapa tunauza sqm 1 kwa 100,000/=. Yaani tunamaanisha ukiwa na 45MILIONI unapata kiwanja hapa ushuani kabisa.

Ukubwa wa viwanja umeanzia sqm 500 mpaka sqm 875.

Inamaana ukihitaji kiwanja kikubwa zaidi unaruhusiwa kuunganisha viwanja viwili hadi vitatu ili mradi upate ukubwa unaotaka wewe.

Malipo ya hapa ni mkopo wa miezi 3, utaanza na 70% ya bei ya kiwanja halafu inayobaki utamaliza ndani ya miezi 3 tu.

UMBALI WA PROJECT YA VIWANJA

Hakuna umbali wowote maana eneo limegusa barabara kubwa inayoenda uwanja wa simba sports club.

KWA MAELEZO ZAIDI TUPIGIE NAMBA HIZI

#0713132109 [Call and Whatsapp]
#0750768201 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na kampuni ndio imepima, inamiliki na yenye mamlaka ya kupauza hapa.

Tunajari wateja wetu.

Pia usisahau kutuFollow sustainablecities_company sustainablecities_company sustainablecities_company

Fika ofisini kwetu TEVI COMMERCIAL PARK(ilipo NBC BANK), MBEZI BEACH TANKI BOVU - DAR ES SALAAM.

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

BUNJU B πŸ’₯ BUNJU B πŸ’₯400K 🌟 400K 🌟 400K 🌟 400KAPARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 400,...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

BUNJU B πŸ’₯ BUNJU B πŸ’₯400K 🌟 400K 🌟 400K 🌟 400KAPARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 400,...

2 Bedrooms House for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

🌟 STAND ALONE KALI SANA – BUNJU B 🌟🏑 Nyumba iko ndani ya fensi!πŸ“ Location: Bunju BπŸ›οΈ Vyumba 2 (...

4 Bedrooms House/Apartment for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

2/8/2025Nyumba inapangishwa apartment Location bunju b sokoni Kodi 400,000 kwa mwezi Miezi 4 au 6Vyu...

Plot for sale at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 320,000,000

*ENEO LENYE UKUBWA SQMT 52OO* Linauzwa milioni 320 maongezi yapo *Location* πŸ“(BUNJU A ) FANAKA MTAA...

Plot for sale at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 320,000,000

*ENEO LENYE UKUBWA SQMT 52OO* Linauzwa milioni 320 maongezi yapo *Location* πŸ“(BUNJU A ) FANAKA MTAA...

3 Bedrooms House for sale at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 130,000,000

#Repostβ€”β€”NYUMBA INAUNZWA BEI RAHISI INA VYUMBA VITATU ENEO SQMT 820OFFER MILLION 130#MAONGEZI YAPO M...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

Nyumba inapangishwa apartment Kodi 400,000 kwa mwezi Miezi 3 au 6Location bunju b sokoni Ipo ndani y...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

Nyumba inapangishwa apartment Kodi 400,000 kwa mwezi Miezi 3 au 6Location bunju b sokoni Ipo ndani y...

1 Bedrooms House for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 100,000

🌟 CHUMBA MASTER & JIKOβ€”NDANI YA FENSI! πŸŒŸπŸ“ Mahali: Bunju B, Dar es SalaamπŸ—οΈ Nyumba mpya β€” zimekam...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

31/7/2025Nyumba inapangishwa apartment Kodi 350,000 kwa mwezi Miezi 6Location bunju A shule mji mpya...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

31/7/2025Nyumba inapangishwa apartment Kodi 250,000 kwa mwezi Miezi 3Location bunju A shule fanaka I...

Plots for sale at Bunju, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 35,000,000

KIWANJA KINAUZWABUNJU A SHULEMAJIUMEMEFREM 1BEI MIL 35 MAONGEZICONTACT #0689138795whatsapp#075...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

31/7/2025Nyumba inapangishwa apartment Kodi 350,000 kwa mwezi Miezi 6Location bunju A shule mji mpya...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

31/7/2025Nyumba inapangishwa apartment Kodi 350,000 kwa mwezi Miezi 6Location bunju A shule mji mpya...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

31/7/2025Nyumba inapangishwa apartment Kodi 250,000 kwa mwezi Miezi 3Location bunju A shule fanaka I...

3 Bedrooms House for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

31/7/2025Nyumba inapangishwa inajitegemea stand alone Location bunju b Kodi 250,000 kwa mwezi Miezi ...

3 Bedrooms House for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

31/7/2025Nyumba inapangishwa inajitegemea stand alone Location bunju b Kodi 250,000 kwa mwezi Miezi ...