House for Rent at Goba, Dar Es Salaam


House For Rent - Goba Center🏠
Specifications:
• Nyumba iko Maeneo ya Goba Center📍
• Choo ni Public Toilet
• Jiko zuri kabisa
• Umeme na Maji vinajitegemea
• Fence na Parking ipo
• Umbali kutoka Barabarani ni dakika 5 tu
Maelezo ya Malipo:
• Kodi ya Nyumba: 500,000 TZS kwa Mwezi
• Malipo ya Kodi: Malipo ya Miezi Sita (6)
• Gharama ya Kuona Nyumba: 20,000 TZS (Malipo ya Mara moja)
• Gharama za Dalali: Mwezi Mmoja wa Kodi ya Nyumba (Hulipwa na Mpangaji, Tofauti na Kodi)
Mawasiliano:
• Simu/Whatsapp: 0744701813📲
I