House for rent at Goba, Dar Es Salaam


#VYUMBA_VIWILI _VYA #KULALA 
INAPANGISHWA_APARTMENT#
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-  GOBA KWA AWADHI 
———————————————————-
NOTE: NYUMBA NI MPYAA BADO MAKABATI JIKONI SOON 
KODI  TSHS  LAKI  450,000/=KWA MWEZI 
——
MALIPO YA MIEZI  3
——
 APART YA KISASA
____________
YA KIFAMILIA
______
YENYE:-
Vyumba Viwili  vikubwa vya kulala  kimoja  ni Master
 #Sebule kubwa# Dinning Jiko Lenye Makabati 
#Choo/Bafu vya public#Vyandani 
#Gypsum #Tiles #Slides #Windows 
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
Nje Pervingblock 
FencedApart 
Garden 
_______________
Nione 
0786079027



















