House for rent at Goba, Dar Es Salaam


VYUMBA VIWILI VYA KULALA
INAPANGISHWA APARTMENT
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI- SALASALA KINZUDI AU GOBA KINZUDI
_________________________________
KODI TSHS LAKI 700,000/=KWA MWEZI
_________________
MALIPO YA MIEZI 6
_______________
APART NZURI YA KISASA
_____________
YA KIFAMILIA
_______
YENYE:-
Vyumba Viwili vya kulala kimoja ni #Master #Sebule #Jiko zuri kubwa Lenye Makabati #Choo/#Bafu vya ndani public
#Gypsum #Tiles #aluminium #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
Nje #Pavingblocks
#FencedApart
#fully A/c
____________
Nione
#0714335450
#0714335450
__