House for rent at Goba, Dar Es Salaam


(250,000X6)GOBA MATOSA . UNAWEZA PITIA KIMARA TEMBONI,KIMARA MWISHO AU GOBA NJIA NNE
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 250,000\/= X 6
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA
#SEBULE KUBWA
#PUBLIC TOILET
‼️HAKUNA MASTER
#LUKU NA MITA YA MAJI INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#PARKING KUBWA
BEI NI 250,000\/= X 6
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 3 USAFIRI NI BAJAJI,,PIA UNAWEZA KUPITIA KIMARA MWISHO UKAPANDA DALADALA
UKITOKEA GOBA UNAINGILIA NJIA NNE NI KARIBU HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 TUU
💥 KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453
Napatikana muda wote karibuni sana wateja