House for rent at Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA GOBA KONTENA
--------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Dinning room
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Slide window
Garden safi
Cctv camera
Full air condition
Ndani ya fence
Paving block
Parking space kubwa sana
----------
Service charge 20,000/=
Kodi 750,000/=×6
------------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 7.5
-------------
Contact
📞#0676_218580 (WhatsApp)
📞#0693_673010
#dalali_big_goba_mbezi_beach 🇹🇿