House for Rent at Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA GOBA LASTANZA DK3 KUTOKA LAMI
--------
Chumba master
Seble kubwa
Jiko la kisasa lina makabati
Tiles
Gypsum
Slide window
Luku yako
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
---------
Service charge 20,000/=
Kodi 450,000/=×4
-----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4.5
------------
Contact
📞#0676_218580 (WhatsApp)
📞#0693_673010
#dalali_big_goba_mbezi_beach 🇹🇿