House for Rent at Goba, Dar Es Salaam


Chumba, Sebule na Jiko 500k🏠
Specifications:
• Nyumba ipo Maeneo ya Goba Center📍
• Choo ni Public Toilet
• Jiko lake ni Zuri Kabisa
• Fence na Parking ipo
• Maji na Umeme unajitegemea
• Umbali kutoka Barabarani ni dakika 5 tu
Payment Conditions:
• Kodi ya Nyumba kwa Mwezi ni 500k✅
• Malipo ya Kodi ni ya Miezi Sita (6)
Service Fee:
• Gharama za Kuona Nyumba ni 20k (Inalipiwa Mara Moja Hadi Utakapopata Nyumba)
• Gharama za Dalali ni Mwezi Mmoja wa Kodi ya Nyumba ambayo Hulipwa na Mpangaji, Tofauti na Kodi
Contact:
• 0744701813 (Normal/Whatsapp)📲