House for Rent at Kati, Arusha


HIZI APARTMENT ZIPO 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI 
#SEBULE KUBWA 
#CHUMBA CHA KULALA WASTANI 
#CHOO KIZURI CHA NDANI
#JIKO KUBWA KABATI UKUTANI
#LUKU INAJITEGEMEA 
#MAJI DAWASA NDANI
#NYUMBA ZIPO 2 TU KWENYE FENSI PARKING KUBWA 
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW 
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 7-8 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI 
#BEI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA PAMOJA NA PESA YA TAADHALI YA KULINDA UHARIBIFU WA NYUMBA



















