House for rent at Kibamba, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE 250K
===
.
Vyumba 2 vyakulala kimojawapo master bedroom sebule kubwa jiko stoo na public toilet
===
Kodi 250,000 Kwa mwezi × 6
===
Ndani ya fence parking IPO Zipo apartment 4 tukila apartment inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
===
Umbali KM 1 kutoka Morogoro Road, bodaboda 1000 Kutembea Kwa mguu dakika 15
====
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===
Malipo ya dalali Nikodi ya mwezi mmoja pindi ulipiapo nyumba
====
0679447338
0753454167