House for rent at Kibamba, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI SANA INAPANGISHWA MAHALI ILIPO DARESALAAMTZ ENEO KIBAMBA CHAMA BARABARA YA KUELEKEA MLOGANZIRA KUTOKA BARBARA KUU YA MOROGORO ROAD NI KM 1.5
NYUMBA INAJITEGEMEA PEKE YAKE KWENYE FENSI
YENYE
VYUMBA V3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTA BEDROOM SEBULE KUBWA DINING ROOM KUBWA JIKO INA STOO INA VYOO VYA FAMILY NDANI TAILS GYPSUM BOARD ALUMINUM WINDOWS LUKU INAJITEGEMEA MITA YA MAJI INAJITEGEMEA
KODI KWA MWEZI MMOJA NI TSHS LAKI TATU NA NUSU 350K
KODI ILIPWE MIEZI MINNE 4
NA MALIPO YA MWEZI MMOJA YA Dalali PINDI ULIPIAPO PANGO
SERVICE CHARGE NI TSHS ELFU 15
SIMU
0712656027