House for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam







MASTER BEDROOM NZURI INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE, #80k
Cuumba na choo ndani
Maji yanaflow chooni mita yake
Umeme Submeter
Kodi 80,000 kwa mwezi ×3
Umbali KM 1.5 usafiri bodaboda 1000
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
O679447338
O753454167