House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 1,500,000
Project
Yes

USIKUBALI KUKOSA NA HIVI. MRADI UPO KIGAMBONI KIMBIJI KIDAGAA Center. Ni Mita 200 tu Toka Barabara kubwa ya Kimbiji, pia ni jirani na kiwanda Cha Africab. Hivi viwanja Viko mjini Kabisa, unanunua na kujenga. Umbali wa Kutoka BAHARINI ni Km 1.5 0711677199/0744847199.

➡️Bei ni Milion 1.5 na Milion 1 Tu.
Vyote vina ukubwa sawa Futi 50 X 40. Utofauti wake, vya Milion 1.5 Viko juu na Milion 1 Viko chini Kidogo Mvua ikinyesha kubwa sana vina asili ya kukaa Maji.

⏭ Viwanja ni tambarare, ujenzi wake hausumbui kabisa, viko kwenye mpangilio mzuri wa barabara, Umeme upo, maji ya DAWASA, shule ya msingi na sekondari hapohapo, hospital ipo n.k

⏭ Unaweza kujenga nyumba ya kuishi, nyumba ya biashara kama kupangisha, maana mahitaji ni makubwa ya nyumba za kupanga mitaa hiyo, kwa sababu ya wingi wa wafanyakazi wa Viwandani.

⏭ Umbali kutoka Ferry ni km 33 , unapanda gari moja tu tokea Ferry, Kuona viwanja ni bure, na kila siku tunaonyesha wateja. Karibu sana kwa maelezo zaidi piga/whatsaap 0711677199/0744847199

Khadja Pesambili | @pesambili properties limited
khadja_viwanja
Khadja Pesambili | @pesambili properties limited

Similar items by location

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

🏡 NYUMBA INAPANGISHWA – Kigamboni Darajani 🏡✨ Vyumba 2 ( 1 Master – Self Contained)✨ Sebule kubwa ...

3 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

🏡 NYUMBA INAPANGISHWA – Kigamboni Geza Ulole 🏡✨ Vyumba 3 ( 1 Master – Self Contained)✨ Sebule kubw...

1 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

🏡 NYUMBA INAPANGISHWA – Kigamboni Darajani 🏡✨ Chumba Kimoja Master – Self Contained)✨ Sebule kubwa...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 50,000,000

Eneo linauzwa kigamboni GEZAULOLE MWONGOZOBei;Milion 50UKUBWA;SQM 3000Call 0742121038

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Project

Sh. 20,000

MILIKI ARDHI LEO NA KAMPUNI PENDWA PERFECT PROPERTY LTD.OFA ZETU BADO ZINAENDELEAMiradi yetu ya vi...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 12,000 per sqm

Plot FOR SALE KIGAMBONI GEZA Bamba beach __Kiwanja kiziru sanNikiwanj Cha pili KUTOKA beach MIUNDOMB...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 60,000,000

KIWANJA KINA UZWA KIGAMBONI GEZA BAMBA BEACH __KIWANJA NI TAMBALALE KIMEZUNGUKWA NA MAKAZI YA WATU P...

House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

HOUSE FOR RENT STEND ALONE INAPANGISHWA __VYUMBA V3 VYAKULALA KIMOJA MASTER FULL MAKABATI __SEBULE D...

House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

0679 997610 NYUMBA KUBWA NZURI INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI 1,000,000= X 6...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

NYUMBA ZINAPANGISHWAKigamaboni darajani 📍✅ Vyumba viwili vyote master Sebule jiko & dining✅ Ndani y...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

📍 Kiwanja kinauzwa kigamboni kibada kisarawe ll📍Umbal wa kilometer 10 kutoka fer yaan kivukoni 📍N...

5 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location tuangoma <> nyumba ina vyumba vitano kimoja master sebule...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location darajani <> nyumba ina vyumba viwili kimoja Master sebule...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

🏡NYUMBA INAPANGISHWA📍Kigamboni-Darajani💰600,000 kwa mwezi•Vyumba viwili vya kulala(Vyote Master)•...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 4,000,000

OFA OFA OFA YA FUNGA MWAKA……KWA THS 4M CASH unapata kiwanja Chenye ukubwa wa SQm 500+ pamoja na HAT...

Sh. 7,852,000

Mradi wa viwanja Kigamboni Buyuni Mahenge. ■Kilomita 45 kutoka Ferry/Darajani■Kilomita 2 kutoka Beac...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

📍Kigamboni Kibada👉Nyumba Inapangishwa🏠Vyumba Vitatu👉Kimoja Master👉Apartment💰600,000/= kwa mwez...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 701,266

HOUSE FOR RENT APARTMENT 3 VYUMBA V2 VYAKULALA KIMOJA MASTER __SEBULE JIKO LENYE NAFASI PUBLIC TOILE...

House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 387,747

NYUMBA KUBWA NZURI INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI 1,000,000= X 6 HIPO KIGAMB...