House for Rent at Kimala, Iringa


UMO NDANI YA FENSI KUNA MASTA 
SEBULE JIKO. UMEME NA MAJI 
UNAJITEGEMEA. ENEO NI KUBWA  NI 
APATIMENT IYO YA CHINI IMEJITENGA 
IPO KIMALA KOLOGWE KILUNGULE 
UWANJANI NJIA YA ZEGE  BEI LAKI  250000
KWA. MWEZI. MALIPO MIEZI. 6 UMBALI 
KUTOKA KITUONI  NI KM 2 NA 30 KWENDA 
KUKAGUA. NYUMBA  TUNACHAJI. 20000 
SAMBAMBA NA MALIPO YA DALALI KODI 
YA MWEZI. BAADA YA KULIPIA NYUMBA 
PIGA. SUM. 0715422099
0784322099/0746218111 ndani ya fensi 
Kuna matunada kila aina ya matunda


















