House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


𝗜𝗡𝗔𝗣𝗔𝗡𝗚𝗜𝗦𝗛𝗪𝗔 (𝟰𝟬𝟬𝗸 𝗧𝘀𝗵𝘀): Ni apartment ya vyumba viwili (2) vya kulala, chumba kimoja ni 'MASTER BEDROOM', Sebule kubwa, Jiko na choo cha public ndani...Ipo ndani ya fensi parking space kubwa na inajitegemea umeme na maji ya DAWASCO
𝗠𝗔𝗛𝗔𝗟𝗜 𝗜𝗟𝗜𝗣𝗢: KIMARA TEMBONI
Umbali ni dk 5 tu kutembea kwa miguu kutokea Morogoro road na barabara ni LAMI TUPU hadi kwenye nyumba.
𝗕𝗘𝗜 𝗬𝗔𝗞𝗘: Laki nne tu (400,000/- Tshs) × miezi 6 + Mwezi mmoja malipo ya Dalali
𝗦𝘂𝗿𝘃𝗲𝘆 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 kupelekwa kuona nyumba ni Tshs 15,000/- tu....Italipwa mara moja na itatumika hiyo hiyo ikiwa mteja utataka kuona nyumba nyingine
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
𝗣𝗜𝗚𝗔 𝗦𝗜𝗠𝗨:
0654101710
0787205300



















