House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APATIMENTI NZURI SANA YA KISHUA
INAPANGISHWA IPO KIMARA TEMBONI
====
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI KM. 3
USAFILI WA BAJAJI 1000/=
UKISHUKA TU. KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE GETI
====
SIFA NYUMBA
CHUMBA MASTER KUBWA SANA
SEBULE KUBWA DAINING. JIKO KUBWA LENYE MAKABATI NA STOO
===
NDANI YA FENSI PAKING SPESI KUBWA
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
====.
KODI 250,000/=X3
KUONA NYUMBA 15000/
DALALI 250,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
===
0713320608
0686334182