House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


CHUMBA MASTER KIKUBWA SANA NA JIKO KUBWA SANA KINA PANGISHWA 100K
LOCATION KIMARA SUKA
KODI 100,000 KWA MWEZI × 6
UMBALI KM 2.5
BAJAJI 700
BODA 1000
UKISHUKA DAKIKA 4 UPO KWAKO
KIPO NDANI YA FENSI
ILA HAILAZI GARI
KIPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHARGE NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
0679447338