House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







CHUMBA SEBULE PUBLIC TOILET NDANI INAPANGISHWA 
LOCATION:
KIMARA KOROGWE 
JIRANI SANA NA STEND YA MWENDOKASY
UMBALI WA DAKIKA 4 KWA MIGUU KUTOKA STEND 
SIFA ZAKE 
NYUMBA MPYA 
UMEME WAKE
MAJI BILI WAWILI 
CHOONI MAJI YANATOKA 
IPO NDANI YA FENCE 
KODI 200,000 X 6
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA 
MAWASILIANO 0656623510 
WSP 0752436347



















