House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


0679 997610
INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 3
KUTOKA STEND STOP OVER
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 20
UKIIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
_______________________
hii ni chumba sebule master bedroom na pabrck ya ndani ipo
Piya jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana
Nyumba NI mpya kabisa
Una hamiya hata sasa
Marekebisho yariyo bakiya ni yannje
Mafundi wapo wanaendeleyaa
KODI YA PANGO KWA MWEZI
_______________________________________
kwa mwezi ni laki nnetuu/=
(400,000)
X6
CALL
0679 997610
0747997630
Msigwa