House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







#APARTIMENT INAPANGISHWA(200K X 04)
------------------------------
📌KIMARA SUKA (Dsm)
Umbali:2. Km Bajaji 1000/=
_________________________
MUUNDO ÷
✔️ Chumba Kikubwa
✔️Sebule kubwa
✔️Jiko Kubwa
✔️Choo Cha Public ndani
✔️ Mazingira TULIVU Sana
__________
HUDUMA ÷
✔️Maji (yapo Dawasa)MITA YAKO
✔️ Reserve Tank Lako
✔️LUKU YAKE
📌Nyumba mpya Kabisa
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KODI; 200,000/=TZS. Kwa mwezi
Malipo ni miezi 04 + Mwezi 1 wa dalali
________________________
Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 15,000/=
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI