House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







#APARTIMENT ZINAPANGISHWA
------------------------------
📌KIMARA SUKA(Dsm) 🇹🇿
📌#ZIPO NYUMBA MBILI TOFAUTI
Umbali:1. Km BAJAJI 800/= KWA MIGUU DK 12
_________________________
MUUNDO ÷ A
✔️ VYumba 02 _ Vikubwa Sana
✔️Sebule kubwa Sana
✔️Sehemu ya Kupikia
✔️Choo Cha Public ndani
__________
MUUNDO ÷ B
✔️CHUMBA MASTER
✔️ SEBULE KUBWA
✔️SEHEMU YA KUPIKIA
✔️CHOO CHA PUBLIC
📌 MAZINGIRA TULIVU SANA &NDANI YA FENSI
HUDUMA÷ A * B
✔️Umeme Luku Yake
✔️Maji Mita Yako
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KODI; A
300,000/=TZS. Kwa mwezi
Malipo ni miezi 05/06 + Mwezi 1 wa dalali
KODI B'
200,000/=TZS Kwa Mwezi
Malipo ni Miezi 5/6 + Mwezi Mmoja Wa Dalali
________________________
Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 15,000/=
SIMU
0712656027