House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA MPYA KABISA ZINAPANGISWA KODI 500,000X6
LOCATION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI KM 1 USAFIRI BAJAJI 500 UKISHUKA UNATEMBEA DK 2 UMEFIKA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#VYIUMBA 2 KIMOJA MASTER
#SITING ROOM KUBWA
#DAINING TABLE
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK ZINAWEKWA π«
NB: ZINAKUWA TAYALI KUHAMIA TAREHE 20/2/2025 KUONA KULIPIA RUKXA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347