House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Mpyaaa mpyaa
KODI NI 100,000 X 3
NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO (DSM)๐น๐ฟ
CHUMBA MASTER KUBWA
MAJI DAWASA YANATOKA NDANI 24HRS
NYUMBA NDANI YA FENSI KUBWA UNALAZA GARI
NYUMBA IKO UMBALI WA KILOMETA2 BAJAJI
700
KUTOKA BARABARA YA MOROGORO ROAD KIMARA MWISHO(DSM)๐น๐ฟ
Kwa bi lunyungu msikiti mdogo
USAFIRI UPO NI BODA 1000 BAJAJI 700 UKISHUKA UNAPIGA TEKE GETI
KODI NI TSZ 100000/= KWA MWEZI
KWA MAELEZO ZAIDI
PIGA SIMU 0659336751 wsp 0786085637
NB:USISAHAU PESA YA TAADHALI 50000
SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=