House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


JENGO KUBWA LINA PANGISHWA KIMARA STOP OVER DK1 KUTOKA LAMI
HII NYUMBA INA FAA KUFUNGUNGUWA HOSPITAL AU OFFICE YOYOTE ,SHULE NK
INA VYUMBA 6 VYA KULALA MASTER
SEBLE KUBWA
PUBLIC TOILET
MAJI YAPO
NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA
KODI 1,600,000/= ×6