House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYAA KABISA HIZI UNAZINDUA MWENYEWE
ZITAKUWA TIYALI KUINGIA KUANZIA TAREHE 1/12/2025
KUNA BEI MBILI TOFAUTI
CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO KUBWA SANA HIZI
KODI 300,000X6
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO NA YANA TILILIKA NDANI
FENS INAJENGWA NA ZINAWEKWA PEVING BLOCK
ZIPO KIMARA STOP OVER AU UNAWEZA PITA KIMARA MWISHO
UMBALI KM 1.5
BODA 1000 HADI NYUMBANI
PIA KUNA CHUMBA MASTER NA SEBULE KUBWA JIKO
KODI 250,000X6
ILA KULIPIA LUKSA KABISA NJOO UCHAGUE NDUGU MTEJA
ZIPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 20,000 KWENDA KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347



















