House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







MASTER BEDROOM YA KUPANGA KIMARA MWISHO
======================
*CHUMBA MASTER BED ROOM NA JIKO LAKE, MAJI DAWASA YANA FLOW NDANI
*NYUMBA HAIKO NDANI YA FENSI, ILA MAZINGILA MAZULI NA SALAMA, LUKU YA KUSHEA NA KILA MMOJA ANA SUB METER YAKE
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM1.5, BAJAJI, NOAH1000/=
*KODI 120,000/= KWA MWEZI
_____________________________
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347