House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO KM2 KUTOKA LAMI
-----
Chumba master
Seble
Jiko
Luku yako
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa
------
Service charge 15,000/=.
Kodi 150,000X6
-------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 1.5
--------
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#dalali_big__kimara🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏