House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 10
KUTOKA STEND STOP OVER PIKIPIKI UTAKE MWENYEWE ELFU 1
KUPELEKWA KUONA ELF 20
UKIIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
__________________
hii ni chumba sebule
Choo kipo pembeni nje
Jamani sebule kubwa sana sanaaa
Mtu ambae hataki mambo mengi aje haraka
Simbari kabisa kutoka barabarani
KODI YA PANGO
________________
(100,000)
X6
CALL
CALL 0659244543



















