House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 7
KUTEMBEA KWA MIGUU KUPELEKWA KUONA CHUMBA ELF 20
UKIIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
_________________
hii ni chumba master bedroom na jiko
Nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana
Inajitegemea umeme NA maji
KODI YA PANGO
________________
kwa mwezi ni laki moja nanusu tuu/=
(150,000)
X 6
CALL
###0655256419