House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


HIYO NYUMBA IPO NDANI YA FENSI ZIPO APARTMENT MBILI
VYUMBA 2 VYA KULALA
SEBULE WASTANI
CHUMBA KIMOJA MASTER
JIKO KUBWA
PUBLICK TOILET
LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA NDANI
TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW MAZINGIRA MAZURI SANA NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
LOCATION KIMARA KOROGWE DARAJANI KARBU NA MWENDOKASI KILOMITA 1
USAFIRI WA KUMWAGA BAJAJI TAX DALADALA NAULI 500 UKISHUKA TU DK 3 UPO GETINI NJIA NI ZEGE MPAKA KWENYE NYUMBA
BEI NI 400,000 NAFAULISHA KUONA NA KULIPA LUKSA
SINA CHENI
NOTE
ELA YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SERVICE CHARGE 1500O
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU NO
0627977383