House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA ###200K
---------------------------------------------
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA IPO KIMARA MWISHO UMBALI WA DK 6 KUTOKA MOROGORO ROAD.
-------
SIFA ZAKE =
CHUMBA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
TILES
GYPSUM
MADIRISHA ALUMINIUM
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI
NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
------------
KODI NI LAKI 200,000 /=
KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
--------
NOTE =
KWENYE HII NYUMBA KUNA HELA YA TAHADHARI ( CAUTION MONEY ) KODI YA MWEZI MMOJA NI MBALI NA KODI YA NYUMBA.
0679447338
0753454167