House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







#0657384670 #0788296797
KODI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA KAMILI
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA NA SEBULE KUBWA SANA
IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE KM 2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI 500 UKISHUKA DK 5 UPO NYUMBAN
HII APARTMENT INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24
IPO NDANI YA FENCE ILA SIO YA KULAZA GARI
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
CONTACT
0742260844