House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE
UKISHUKA KWENYE GARI UNATEMBEA DK 10 UNAFIKA NYUMBAN
NYUMBA INA CHUMBA SEBULE CHOO NA JIKO
INA FULL AIR CONDITION FULL INTERNET IPO NDANI YA FENCE PAKING YA KUTOSHA USALAMA WA KUTOSHA
INAJITEHEMEA UMEME NA MAJI YANA FLOW NDANI MAJI BURE USAFI BURE UNALIPIA UMEME TU
KODI 400000 KWA MEEZI MALIPO MIEZI 6
KUONA NYUMBA SURVEY CHARGE NI 20000 ITADUMU MPAKA UPATE BILA KUCHAJIWA TENA
UKIPENDA NYUMBA UTALIPA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI UNAPOFANYA MALIPO YA NYUMBA
RUKSA KULIPIA ZITAKUWA TAYARI TAREHE 1/12/2025
KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGASIMU NAMBA O677370515


















