House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


HILI NI BANGALOO JUMBA KUBWA LINAJITEGEMEA KWENYE FENSI YAKE
LENYE SIFA HIZI👇
#SEBULE KUBWA MBILI JUU NA CHINI
#VYUMBA VIPO SABA VIWILI MASTER
#DAINING TABLE
#PUBLICK TOILET ZIKO MBILI NA MABAFU
#JIKO KUBWA SANA LENYE MAKABATI
#TALAZO GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW
#INAJITEGEMEA UMEME WAKE NA MAJI NI DAWASA YANATOKA NDANI
#FULL ICE
#JUMBA LINAJITEGEMEA KWENYE FENSI YAKE ENEO KUBWA SANA UNAWEZA HATA KUFUGA
#LOCATION KIMARA BARUTI UPANDE WA KUSHOTO KUELEKEA MBEZI DK 6-7 KWA MIGUU BARABARA NZURI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 1000,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6 (MILIONI MOJA KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6)
NOTE
ELA YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SERVICE CHARGE 15000
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU
0627977383