House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE USAFIRI BAJAJI DALADALA ZIPO
NYUMBA INA CHUMBA SEBULE CHOO JIKO
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI YANA FLOW NDANI
KODI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA 7 MMOJA NI CAUTION MONEY
IPO NDANI YA FENSI PARKING IPO NDANI YA FENSI KUNA NYUMBA 4
NYUMBA INA FULL AIR CONDITION NYAYA ZA UMEME KWA UJUMLA USALAMA NI WA KUTOSHA KABISA
KUONA NYUMBA ELFU 15,000 ITADUMU MPAKA UPATE BILA KUCHAJIWA TENA
UKIPENDA NYUMBA UTALIPA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGASIMU
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347