House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


:
APARTMENT NZURI YA KUPANGA 300k
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA KOROGWE KIRUNGULE
Unaweza Ukapitia KIMARA KOROGWE Usafiri Bajaj 700 Barabara Mpya
Unaweza Ukapitia UBUNGO RIVERSIDE Usafiri Bajaj 700
𝙎𝙞𝙛𝙖 𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Sebele
• Vyumba VIWILI Vya Kulala Vikubwa
• Jiko Kubwa
• Choo Kizuri Ndani
Apartment zipo ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment Umeme LUKU Sub Meter na Maji DAWASA.
𝙆𝙤𝙙𝙞 𝙠𝙬𝙖 𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 300k MALIPO MIEZI 6
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali.
𝘿𝙖𝙡𝙖𝙡𝙞 𝙐𝙗𝙪𝙣𝙜𝙤
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp