House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT MPYA KABISA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 30/10/2025KUONA MALIPO RUKSA
#SEBULE WASTANI
#CHUMBA MASTER
#JIKO KUBWA
#CHOO CHA WAGENI NJE
#ULINZI WA KAMPUNI 24 HRS ELFU 20 KWA MWEZI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#MAFENI VYUMBA KOTE
#LOCATION KIMARA MWISHO DK 10-15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
Kodi 250,000/= Kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Service charge 20,000/=
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.