House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







MASTER BEDROOM NZURI SANA NA JIKO LAKE OPEN KITCHEN
INAYOJITEGEMEA
NDANI YA FENCE
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
💥 *KODI YAKE 150K X4//*
*ILIPWE LAKI MOJA NA ELFU HAMSINI, KWA MWEZI, MALIPO YA MIEZI MINNE NA KUENDELEA.*
#MASTER BEDROOM KUBWA ''SINGLE''
##JIKO SAFI
#TILES
#GIPSUM
#ALMINIUM
#UMEME WAKE
#METER YAKE YA MAJI SAFI DAWASA, NA YANAFLO NDANI.
🏘️MASTER BEDROOM HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM2.
BAJAJI TSH 700/=
BODA TSH 1000/=
HII NI STAND ALONE YA KIPEKEE..📌
*SERVICE CHARGE 15K*
*BILA KUSAHAU PESA YA MALIPO YA DALALI NI KODI YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA*
CONTACT US:-.
0716223412
0618976024
🏡🏘️🇹🇿KARIBUNI SAANA.