House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(400,000X6)KIMARA MWISHO
:➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 #Mpyaa
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA MWISHO
Umbali wa Kilomita 1.5 Kutoka Main Road, Usafiri Bajaj 700 Ukishuka Unapiga Mlango Teke
𝙎𝙞𝙛𝙖 𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Sebule Kubwa
• Vyumba VIWILI Vya Kulala Kimoja Wapo Master Bedroom
• Jiko Kubwa
• Public Toilet ya Wageni
• Electrical Fance
Apartment zipo ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment Umeme LUKU Inajitegemea na Maji DAWASA yanaflow ndani Chooni na Jikoni.
𝙆𝙤𝙙𝙞 𝙠𝙬𝙖 𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 400,000/- Malipo Miezi 6
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 15,000
CONTACT US:-
0716223412
0683597453