House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZIPO NNE TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 01/03/2025 KUONA MALIPO RUKSA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO KODI 250,000X6
LOCATION KIMARA KOROGWE DK 6-7 KUTEMBEA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#SEBULE WASTANI
#CHUMBA MASTER
#JIKO KUBWA
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING IPO
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347