House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 10
KUTOKA STEND KIMARA MWISHO PIKIPIKI ELF 1
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000 UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
__________________
hii ni chumba sebule master bedroom na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme maji yapo ndani yanatoka chooni na jikoni Mazingira mazuri tuu
KODI YA PANGO
_________________
Kodi kwa mwezi ni laki moja nanusu tuu/=
(150,000)
X 6
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347