House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT ZA KUPANGA KIMARA MWISHO 
======================
*CHUMBA MASTER BED ROOM, SEBULE, JIKO, PUBLIC TOILET NJE, MAJI DAWASA YANA FROW NDANI 
*ZIKO 6 KTK COMPAUND MOJA, NA KILA MMOJA ANA JITEGEMEA KILA KITU NDANI, PARKNG SPACE KUBWA SANA 
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM1.5, BAJAJI, DALADALA, TAX700/=
*KODI 250,000/= KWA MWEZI 
_____________________________
NB:IZI NYUMBA ZIPO KWENYE ATUA ZA MWISHO ZA FINISHING NDOGONDOGO, ITAKUWA TAYARI KUAMIA TRH 1/11/2024..,AU MAPEMA ZAIDI YA APO 
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA 
======================
CONTACT US:-
0716223412
0683597453
======================
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
_____________________________




















