House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT 2 ZINA PANGISHWA KIMARA STOP AU UNAWEZA KUPITA KIMARA TEMBONI KM1.5 KUTOKA LAMI
------
Vyumba 3 vya kulala vyote master bedroom
Seble kubwa sana
Dinning room
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Heater ya maji moto maji baridi
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Paving block
Parking space kubwa sana
--------
Service charge 20,000/=
Kodi 600,000/รทร6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 6
----------
Contact
๐#0676_218580 (WhatsApp)
๐#0693_673010
#dalali_big_goba_mbezi_beach ๐น๐ฟ