House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 320000ร6
LOCATION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI KM 1.5 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 INAKUSHUSHIA MLANGONI
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
___________
#VYIUMBA 2 VYA KULALA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA MAKABATI
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE IPO
NB: INAKUWA WAZI TAREHE 31.8.2025 KUONA KULIPIA RUKXA MPANGAJI AKIWEPO
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347



















