House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(250,000X3)KIMARA TEMBONI DAKIKA 6 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 250,000\/= X 3
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIKUBWA
#JIKO (OPEN KITCHEN)
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
# INAYOPANGISWA NI YA CHINI NDUGU MTEJA
BEI NI 250,000\/= X 3
ILIPWE LAKI 2 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 3 NA KUENDELEA
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI AU UNAWEZA KUPITIA KWA MSUGURI NA UNAFIKA KWENYE NYUMBA VIZURI SANA NI DK 6 TUU KWA MIGUU
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453
Napatikana muda wote karibuni sana wateja