House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APATIMENTI INAPANGISHWA
IPO KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI
KM. 3
USAFILI BAJAJI. 1000/
UKISHUKA UNAPIGA TEKE GETI
====
SIFA ZA NYUMBA
CHUMBA KIKUBWA
SEBULE KUBWA SANA NA CHOO NDANI CHA PABLIC
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
====
KODI. 150,000/=X4
KUONA NYUMBA 15000/=
DALALI. 150,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
0713320608
0686334182