House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA SUKA DK 10
KUTEMBEA KWA MIGUU PIKIPIKI ELF 1 UKIPENDA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15
UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
__________________
hii nyumba NI chumba sebule master bedroom na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana
KODI YA PANGO
________________
kwa mwezi ni laki mbili nanusu tuu/= (250,000)
X 6
Kwa maelezo zaidi Piga simu uhudumiwe kwa halaka
CALL
###0655256419