House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT 2 TUU NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA KIMARA STOP OVER KM.1KUTOKA BARABARA YA MOROGORO ROAD KIMARA STOP OVER
USAFIRI UPO MWINGI WA BODA ELFU 1000/=
•CHUMBA KIKUBWAAAAA
•NA PUBLIC TOILET YA NDANI
•NA SEBLE KUBWA SANA
•NA JIKO KUBWA LA MAKABATI
•MAJI YANA FLOW NDANI
•UMEME LUKU YAKO MWENYEWE
•MAJI DAWASCO METER YAKE
•TILES SAFI
•GYPSUM BOARD
•SLIDE WINDOWS
•FULL PAVING BLOCKS
•NYUMBA IPO NDANI YA FENCE
•PARKING SPACE IPO KUBWA SANA
•MAZINGILA MANZURI SANA MNO
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI NI TSH 250,000/=X"4 "
0679 956 863
0759151524
0781 418 437