House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 15
KUTOKA MOROGORO ROAD KIMARA MWISHO USAFIRI BAJAJI ZIPO PIKIPIKI ELF 1
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHARGE 15,000, UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
__________________
Hii Nyumba NI CHUMBA KIKUBWA
SEBULE
CHOO NDANI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI Mna share
Hii nyumba ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri
Mwenye nyumba anapokea miezi sita tuu/=
KODI YA PANGO
________________
💰Kodi kwa mwezi ni laki moja nanusu
(150,000)
X 6
Zingatia maelekezo hayo
Kwa maelezo zaidi
Piga simu#0625606710